Recent content by rammmy

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi kufa kufa, naomba mniombee

    Sijielewi, najiona mkosaji, sifai kuishi kwenye hii dunia. Nasikia sauti inaniambia nijiue ndo itakua heri kwangu. Kuna sauti nyingine inaniambia nitoroke niende mbali nisionekane. Wakuu nihombeeni huu usiku uishe salama.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kujitoa kwenye uhusiano huu

    Kwetu tumezaliwa watano,wa kike wawili na wa kiume watatu na mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa. Katika kukua nilijikuta nikivutiwa kimapezi na mdogo wangu wa mwisho wa kike ambae tumepishana miaka sita.Nikafanikiwa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi, tukawa tunafanya kwa siri. Hakuna mtu alieweza...
Back
Top Bottom