Recent content by ramir

  1. R

    JamiiForums Tanzania Blog designer.... SOMA

    Nimekutumia e-mail, nasubiri jibu toka kwako
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri na msaada wenu kuhusu Ajira

    Habari zenu wapendwa. Kwanza kabisa nawashukuru kwa mchango wenu katika ujenzi wa taifa. Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 29. Kwa muda wa miezi kadhaa nimekuwa nikitafuta kazi bila mafanikio. Niliwahi kuomba kazi ya TUTORIAL Assistant kwenye chuo kimoja Dodoma, ila waliniita kwenye interview...
Back
Top Bottom