Ukiachwa wewe ukaongea tu unasaidia nini kuhusu tukio Olivia?au umekimbia mbio ndefu za kuongea na ata kunyamaza ghafla kutakuumiza?
Pole,sikilizia pia Dola na vyombo vingine maana ukiongea tu utakosa kusikiliza wenginine wenye muhimu kuliko wewe.
Na kuhusu carat au kilograms nazo ni provisional?
tusubiri mnada wa kadirio la awali la ng'ombe maskani Ili uko mnadani muuzaji akataje kilo halisi kwa mnunuzi au mchinjaji? Mifano haifanani kabisa na ukweli.
Ng'ombe uhuuzwa sio kwa kilo zake Bali muonekano wake Katika ushindani sokoni.
Almasi...
Tusisahau tu kwamba Mitandao ya jamii kituo cha polisi kesi zinapoanzia lakini pia kama humu ni mahakama hukumu zinalotolewa zaidi hivyo vyombo vya usalama na haki viachwe vitende kazi.
Humu tunasoma, tuna-comment, tunalalama, lakini tumesahau pa kuanzia kwene matatizo yetu haswa vitisho...
Ata
Ata wewe hujui from the intelligent point of view.....if cost you are talking about is calculated cost after operational or not au muelimishe jamaa kama wewe unajuwa kihusu ili,for whatever amount tungeshapiga hatua sio kwa shinyanga bali taifa zima.
MSUKUMA KASHEKU Liamshe popote kwene...
Som
soma,sikiliza na uelewe "tumia mifumo yako ya fahamu"kamati haikuwa ya chama wala serikali na ata ya mahakama ilikuwa ya BUNGE,habari ya vyama inatoka wapi?
Ijue miimili mitatu "serikali,Mahakama na Bunge"na kwa taarifa yako kamati iliwakilishwa na vya vyote.imekadhiwa ropoti kwa serikali...
Kweli tunakosea kupaki na tuko tayari kulipa kwa makosa haya, lakini hawa watu wanakuzungusha na mwisho wanapigiana simu uku na Kule.
Swali: Haya ni Mapato kwanini hawa watu wasitembee na EFD machines? Hasa kwa wale ambao wanakuwa tayari kulipa badala ya kupelekwa Yard na kutozwa fine ya wrong...
Habari Mh.Mwalimu...."kwa mwenye akili" pia inaweza kuwa anayejuwa msimamo wa Lisu kwa sasa dhidi ya serikali na ni mtu tu mbaya Anaweza kutumia mwanya huu pia.
Natetea kauli ya my.Mbowe kwamba ni Mapema kumnyooshea mtu mmoja kidole na tusubiri taarifa ya polisi kwanza.
Tutahoji kwa Jumla yetu...
Huduma za kiwango takribani wizara zote lakini Zaidi Afya,mahakama,Mali asili na utalii.
Mafanikio kwene natural resources policing "ulinzi madhubuti wa rasilimali zetu hasa Madini yetu na higadhi zetu za taifa kuwa na wafanyakazi pro-active kwene ulinzi WA wanyama wetu muhimu na waliokuwa...
On going projects? How much was budgeted for the project and how much was delivered for the complation of the total projects......FYI it's only seen going if the man took over agrees to go on with it!!
Project ya wizi kwene makenikia alikuta pia lakini it is not going anymore "understand" and...
Jamaa tujipe nafasi ya kufikiria kabla ya hukumu!
Kuwa mtu WA utandawazi na mfuatiliaji wa habari linganifu na mawazo haya yalioshushwa hapo kwa chanzo.
Kiwango cha Elimu kukuwa na haki kutendeka kutokana na sifa! Hutajuwa kama mtu hafai au anafaa pasipo na mtu kupata nafasi!
Acha vijana...
Yeah!
Come sun come rain "my country come first" ujuaji wa kutetea vitu vinavoumiza nchi yetu kwa mataifa ya kibeberu ni zaidi ya kukosa uzalendo na maisha kinyume na Eli Cohen.
Tuungane kuzuia ki-asili,ki-siasa,like-jamii,ki-uchumi na kwa namna yoyote kuilinda (U-Tanzania)na kuwalinda...
Kuna mlolongo WA watu hapo kwene ilo kosa na wakamatwe wooote wanaohusika kwene huo utoroshwaji.Hakuna siasa hapo Kama wako wadhibiti wakabadilika kuwa watoroshaji "Wawabadilishe na Babu sea bila gharama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.