Kwa anaehitaji kupunguza mwili atafte cider +asali mbichi ya nyuki wadogo original kbsa achanganye ndani ya asali hyo mbichi kisha aweke cider vinegar kiasi kama ni glas moja ndani ya lita 1 ya asali ataona asali inayeyuka kutoka kuwa nzito hadi kuwa kama maji matumizi atumie vijiko viwili...
Kuna cider ya tiba na
cider ya kusafishia kachumbari na matunda Angalizo
cider ya tiba n kali sana tena sana hivyo haifai kunywa nyingi huyo aliekeleza kunywa glass moja ni muuwaji yafaa kutumia kwa kipimo cha kijiko
Samahan mkuu naomba unielekeze njia ya kutoa hyo system na je nikipiga windows nyingine itaweza kufanya kazi vyema ingawa usb yake ndo inachangamoto au kama kuna njia nyingine naomba plz
Msaada jamani na mdogo wangu alikuwa anasoma kenya [emoji1139] hivyo aliporejea alikuja na mini computers ndogo hivyo akaniachia nitumie tatizo lililonikabir n kwamba huwezi ku update kitu chochote mpaka uweke Passwoord ya Administrator
Kifaa chenyewe n hiki msaada waungwana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.