Recent content by ramafosa

  1. R

    Zitto Kabwe kugombea urais 2020, aanza kampeni kabla ya wakati

    Mr worldwide, I gather he is paving a way for somebody else not him. Anajua anachokifanya. Anaiingiza serikali mkenge ili apate upenyo. Kuna mtu anaandaliwa na si yeye
  2. R

    Serikali yamuonya Cyprian Musiba kuacha kuhusisha harakati zake na Serikali au kuwa Rais anamtuma. Musiba ajibu yupo tayari kukamatwa

    My Take, Lugla anatafutiwa Zengwe na ameliingia mwenyewe. Angesoma alama za nyakati asingejihusisha na mambo ya Musiba maana yana baraka toka juu ni kweli. Namsikitikia maana naye anaondoka anytime from now. Save the date
  3. R

    CCM itumieni ‘Kanyaga’ ya Diamond mwakani kwenye uchaguzi mkuu.

    Hapa sawa! Sasa nimemuelewa Ngabu!
  4. R

    Nyalandu: Niliamua kuacha Ubunge baada ya kuzuiwa kwenda kumuona Lissu

    Unaandika tu lakini ukweli unaujua
  5. R

    Hivi kwanini ukiwa mahali alipo Rais Magufuli unajisikia amani sana!

    Inawezekana huwa akiongea humuelewi au mafanikio yako yanakufanya usijali anachosema kwakuwa tayari unachotafuta ni kulindwa tu maslahi yako. Lakini kuna hili pia, huenda wewe umezoea kujipendekeza maana hizi ndo kauli za watu wa tabia hiyo.
  6. R

    Polepole amjibu Lowassa(CHADEMA) kuhusu kusamehewa kwa Babu Seya

    Maskini anatia huruma! Kama anataka kujua kwanini haikuwezekana Lowassa kumshauri rais wake ajikumbushe maneno ya Magufuli juzi kati akiwa anafungua hospitali ya Loganzila, alizungumzia mambo mengi kuhusu kushindwa kubomoa jengo la Tanesco kisha akamalizia na maneno, (namnukuu): "...lakini sasa...
  7. R

    CHADEMA wampongeza Magufuli kumsamehe Babu Seya, wasema wafungwa wa kisiasa na mashehe wa Zanzibar wasamehewe pia

    Hata Balali soon utaona ameletwa maana kazi ya Lumumba ni kupita kule anakopita chadema
  8. R

    Tunapotoa misamaha huwa hatutoi kwa fulani na fulani, linaangaliwa kundi!

    Le Mutuz naye aliwahi kukanusha hili swala kwa kuwa tu alilisema Lowassa!! Hawezi kuja kukanusha. Kwa kifupi Le Mutuz ni moja wa watu ambao wanaongeaga tu ahkuna kufikiri wala kupima wanachoongea. Hapo ndo utajua tofauti ya mtu anayejitegemea kimawazo na mtu anayekuwa remotedly controlled. Hili...
  9. R

    Mkutano wa UWT-Dodoma: Mama Anna Mghwira ahamia rasmi Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Hivi mpka anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa alikuwa hajahama tu? Atakayedanganyika ni mtoto mdogo tu
  10. R

    Kamati kuu CHADEMA yawaagiza wabunge wajitoe kwenye timu ya bunge michezo ya EALA

    This is a very good move to start with. Msichekee mtu anayewanywesha sumu.
  11. R

    Safi sana Magufuli, Utawala wa mkono wa chuma wa Nyerere wa ficha wachache wengi waishi kwa amani nauona well done

    Yaani wewe bado uko nyuma ya wakati sana ndugu yangu. Pamoja na kutumia ndugu zako na mzee wako kuhalalisha huo uongo unaotaka kuaminisha umma, ungekuwa na akili za kuona mbele ungejua kuwa wakati wa Nyerere kulikuwa na kitu kinaitwa "de facto single party system" na sasa tuko chini ya...
  12. R

    Kuondoka kwa Mtulia imeonyesha Lipumba hakubaliki CUF ni bora akajiuzulu tena

    Nasikia Magufuli naye ameomba kuhamia Chadema. Mpaka sasa hajakubaliwa amewekewa masharti, tusubiri hizi siku mbili tatu tutasikia jambo kubwa litatetemesha JF yote. Acha tu iwe hivyo hakuna namna sasa
Back
Top Bottom