Kuondoka kwa Mtulia imeonyesha Lipumba hakubaliki CUF ni bora akajiuzulu tena

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kabla ya lipumba kujiuzulu CUF na kwenda RWANDA aliiacha CUF ina Wabunge wawili .

Ila alivyorudi toka Rwanda ameikuta CUF INA wabunge Kumi. Baada ya mwaka mmoja CUF imepoteza mbunge mmoja wa Kinondoni hivyo kuifanya CUF imebaki na wabunge tisa na ndo kwanza miaka miwili tangu tumalize uchaguzi.

Kitendo cha mtulia kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM na kumkimbia mwenyekiti wake wa CUF ni dhahiri Lipumba hakubaliki. Ingekuwa lipumba anakubalika Mtulia asingehama CUF.

Ushauli wangu Lipumba ni bora Uachie ngazi
 
kabla ya lipumba kujiuzulu CUF na
Kwenda RWANDA aliiacha CUF ina
Wabunge wawili .

Ila alivyorudi toka Rwanda ameikuta CUF INA wabunge Kumi
Baada ya mwaka mmoja CUF imepoteza mbunge mmoja wa
Kinondoni hivyo kuifanya CUF imebaki na wabunge tisa na
Ndo kwanza miaka miwili tangu
Tumalize uchaguzi .

Kitendo cha mtulia kumuunga
Mkono mwenyekiti wa ccm na
Kumkimbia mwenyekiti wake wa
Cuf ni dhahiri lipumba akubaliki
Ingekuwa lipumba anakubalika
Mtulia asingehama cuf

Ushauli wangu lipumba ni bora
Uachie ngazi
Mku mtu akishaingia ktk laana ya uasi huwa habaki salama mwisho huishia kujambishwa mtaani kwani si unawainaga waliotangulia kuasi huwa wakitoa kauli huishia kuchekwa au kubezwa lakini ndo maisha aliamua kuyachagua. Kwa hiyo usitegemee lolote Jipya kutoka kwa mtu kama huyu
 
....Kitendo cha mtulia kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM na kumkimbia mwenyekiti wake wa CUF ni dhahiri Lipumba hakubaliki. Ingekuwa lipumba anakubalika Mtulia asingehama CUF

Mkuu hapo kwenye red ni kweli kabisa na haihitaji elimu ya PhD kulitambua hilo.
 
Kabla ya lipumba kujiuzulu CUF na kwenda RWANDA aliiacha CUF ina Wabunge wawili .

Ila alivyorudi toka Rwanda ameikuta CUF INA wabunge Kumi. Baada ya mwaka mmoja CUF imepoteza mbunge mmoja wa Kinondoni hivyo kuifanya CUF imebaki na wabunge tisa na ndo kwanza miaka miwili tangu tumalize uchaguzi.

Kitendo cha mtulia kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM na kumkimbia mwenyekiti wake wa CUF ni dhahiri Lipumba hakubaliki. Ingekuwa lipumba anakubalika Mtulia asingehama CUF.

Ushauli wangu Lipumba ni bora Uachie ngazi
Ifike kpindi siasa uchwara zisitishwee.kila kukicha huyu kahama huku,huyu kahamia kule.tumechokaa headline za siasa humu.
 
Ina maana wale 9 waliobaki wanamuunga mkono Lipumba? Kama ni 9 wanamuunga mkono na 1 hamuungi mkono kwa hesabu hiyo Lipumba anakubalika 90%.
 
Kabla ya lipumba kujiuzulu CUF na kwenda RWANDA aliiacha CUF ina Wabunge wawili .

Ila alivyorudi toka Rwanda ameikuta CUF INA wabunge Kumi. Baada ya mwaka mmoja CUF imepoteza mbunge mmoja wa Kinondoni hivyo kuifanya CUF imebaki na wabunge tisa na ndo kwanza miaka miwili tangu tumalize uchaguzi.

Kitendo cha mtulia kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM na kumkimbia mwenyekiti wake wa CUF ni dhahiri Lipumba hakubaliki. Ingekuwa lipumba anakubalika Mtulia asingehama CUF.

Ushauli wangu Lipumba ni bora Uachie ngazi
Lipumba aka kivuruge
 
Hata Mbowe hakubaliki ndio MAANA wanahama kila kikicha.
Nafikiri ni muda umefika sasa akina mbowe. Lipumba mbatia kujiuzulu wakaachia vijana ambao wana fresh mind na mbinu mpya za kisayansi za kupambana na CCM maana hawa wazee wamebakia kulilia ni mbinu za kizee
 
Kabla ya lipumba kujiuzulu CUF na kwenda RWANDA aliiacha CUF ina Wabunge wawili .

Ila alivyorudi toka Rwanda ameikuta CUF INA wabunge Kumi. Baada ya mwaka mmoja CUF imepoteza mbunge mmoja wa Kinondoni hivyo kuifanya CUF imebaki na wabunge tisa na ndo kwanza miaka miwili tangu tumalize uchaguzi.

Kitendo cha mtulia kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM na kumkimbia mwenyekiti wake wa CUF ni dhahiri Lipumba hakubaliki. Ingekuwa lipumba anakubalika Mtulia asingehama CUF.

Ushauli wangu Lipumba ni bora Uachie ngazi
Lipumba yuko ccm hajawahi kutoka ccm,huyu mtulia kamfuata lipumba
 
Nafikiri ni muda umefika sasa akina mbowe. Lipumba mbatia kujiuzulu wakaachia vijana ambao wana fresh mind na mbinu mpya za kisayansi za kupambana na CCM maana hawa wazee wamebakia kulilia ni mbinu za kizee
ILI MUWEZE KUVIUA VYAMA VYA UPINZANI KWA URAHISI. TUMEWASTUKIA KWA KUWA HAWAINGILIKI KWA URAHISI
 
Ifike kpindi siasa uchwara zisitishwee.kila kukicha huyu kahama huku,huyu kahamia kule.tumechokaa headline za siasa humu.
Nasikia Magufuli naye ameomba kuhamia Chadema. Mpaka sasa hajakubaliwa amewekewa masharti, tusubiri hizi siku mbili tatu tutasikia jambo kubwa litatetemesha JF yote. Acha tu iwe hivyo hakuna namna sasa
 
Back
Top Bottom