Recent content by ramadhani111

  1. ramadhani111

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Ndugu zangu nilikua naomba Ushauri wenu kuhusiana na Biashara nina pesa milioni 3 nipo kwenye kutafuta na kufanya research ya biashara kama ndugu yangu ushauri wako unahatua moja katika mwanzo mzuri wa maisha yangu.
  2. ramadhani111

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Sikuipata kwa biashara nimepewa nifanyie Biashara na wazazi wangu nimemaliza Elimu ya chuo nipo nyumbani kwa mda mrefu
  3. ramadhani111

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nilikua napanga nichukue Bidhaa kutoka njee ya Dar es salaamu kama vile mafuta ya alizet na mazao mengine niuze Dar es salaam nifunge page za social media na fremu yakuanzia nianze biashara huku nikifany marketing kwa upana zaidi
  4. ramadhani111

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Ndugu zangu nilikua naomba Ushauri wenu kuhusiana na Biashara nina pesa milioni 3 nipo kwenye kutafuta na kufanya research ya biashara kama ndugu yangu ushauri wako unahatua moja katika mwanzo mzuri wa maisha yangu
  5. ramadhani111

    JamiiForums Tanzania Kusoma chuo na kusoma Advance kama private candidate bora kipi?

    Hivi kusoma chuo na kusoma advance private candidate bora nini
  6. ramadhani111

    JamiiForums Tanzania PC lazimaa a some Pamoja na school candidate

    Shulenyingi za private huwa zina toa elimu kwa PC na idadi ya PC no wengi mashuleni hii VP....
  7. ramadhani111

    JamiiForums Tanzania Mtahiniwa wa kujitegemea ACSEE anafanya mitihani mingapi?

    Nauliza mtahiniwa wa kujitegemea wa advance anafanya pepa ngapi?
Back
Top Bottom