.........................Waziri mkuu Mizengo Peter kayanza Pinda anazo sifa zote za kuiongoza nchi yetu.. Ni mzalendo na asiyependa rushwa,mchapakazi,jasiri,asiye penda makuu(simple Man),Afya yake ni imara(fit to be a leader)msikivu na mtoto kutoka familia duni ya mkulima toka kibaoni mkoani...
Ukweli usiofichika kua pinda anaweza na wanaopinga wamekosa sera za maana au wanataka mzee wa richmond nini? Kweli waswahili walisema nyani haoni kundule. Mchafu anaona hata wasafi ni wachafu kama yeye hamna jema hata akija malaika gablieli hapa bongo bado mtamkosoa ni unafki tu hapa.. Tangaza...
Eti etiii ??? Sijui ni kitu gani kinachomchelewesha pinda kutangaza nia hadharani kama alivyofanya kigwangala tatizo liko wapi natamani atangaze nia hata leo hakika naamini pinda anaweza aaminiwe na apewe nafasi.. Unaweza pm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.