Recent content by Ramadhani Salumu

  1. R

    Sheikh Khalifa Khamis apinduliwa msikiti wa Mtoro

    asante kwa kutukumbusha, khahtaan hebu nambie je Dini inawachukuliaje watu kama hawa tena pale wanapotoa matamko kwa niaba yetu?
  2. R

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    nyie majamaa ndio mnafanya wote tuonekane mabwegeflani hivi. Mambo ya MoU na MAWAIDHA ya makanisani yanatuhusu nini, wewe unaona sawa khalifa kuyaibua sasa?? , we mtu wa ajabu sana, yaani wewe CCM imekuloga hadi mate yako kiasi uko tayari kuitukanisha dini kwa sababu ya CHAMA, unachumia tumbo...
  3. R

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    afu we jamaaa ni kama unachanganyikiwa flani..
  4. R

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    WEWE UNALETA chuki waziwazi. jamani tuachieni nchi yetu tukae na amani zetu. kama kinawauma, mnajifanya nyie magangwe zaidi, nendeni huko uarabuni bana.. sisi tunafanya saida, tunafanya mikhadhara watu waje kwenye dini nyie mnaleta fujo na maneno ya kipuuzi, acheni hivyo bana.
  5. R

    Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

    picha hii tamu lakini.. Hapa anaisikilizia inavyopenya.. Aisee wallakh ukiangalia pale kati- keshalowa.. !!DA AISEE MAMA KAJIDHALILISHA MWENYEWE..!AIBU YA KARNE..!
  6. R

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    unapo ongelea fedha huna akiba ya akili. tusipasuane humu majaalaba. ujinga wa kutetea vyama unachafua dini zetu na utanzania wetu. sheikh kaweka mambo sawa nyie mnajitoa akili kwa kutetea CCM. shame..!
  7. R

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    TAMKO LA KAMATI YA MASHEIKH NA MAIMAM WA DSM KUHUSU TAMKO LA KICHOCHEZI LILILOTOLEWA NA SHEIKH KHALIFA HAMISI WA TAASISI YA IMAM BUKHAR FOUNDATION mbele ya waandishi wa habari Jumapili ya Tarehe 11-10-2015, kwenye ukumbi wa hoteli ya Trevestline Dar es Salaam. Jina langu naitwa Alhaji Saidi...
  8. R

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Acha kuwatukana viongozi wa nchi hii wewe kwamba ni madhaifu wameshindwa kuwachukulia hatua wezi. Acha matusi hayo
  9. R

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mzee wa watu kadiri navyomsikiliza na kuusoma Moyo wake, naona ana nia flan ya kufanya kitu cha kimaendeleo💧, kujaribu bahati yake YA kung'oa umasikini nchini. Hana Muda wa kipuuzi wa kuwaza kisasi wala majungu wala ushirikina. Unachachawa asubuhi hadi usiku bure tu. Umasikini wa...
  10. R

    Lowassa awasili Zanzibar; Mamia wajitokeza kumpokea usiku huu!

    Maskini iweje vipi amchague maskini mwenzie? Wabara wasema kipofu hawezi mwongoza kipofu mwenzie, wadumbukia wote kunako shimo. Utajifunza nini kwa aliyeshindwa? Yake maneno matam ila keshashindwa huyoo!? Yuatapa tapa tu. Twataka kujifunza Kwa alofanikiwa sio lofa. Walochoka wasema fanikio...
  11. R

    TIGO mlipeni Gwajima

    Leo katika pitapita zetu tulipita karibu na viwanja vya Tanganyika Packers-Kawe penye ibaada za Gwajima, mbali na idadi ya maelfu ya watu lakini miamvuli mikubwa ya TIGO Ilionekana kujaa kwenye viwanja hivi.. Mnyonge mnyongeni lakini nadhani haki kidogo mpeni.. Nadhani hii ni Kampeni kubwa kwa...
  12. R

    Askofu Gwajima atunukiwa PhD (Doctor of Philosophy)

    wenzetu wanafanya vitu vinavyoonekana, sisi tumekazania kufanya mambo ya aibu aibu tu.. !!tunang'ang'ania mambo ya kipuuzi yasiyutupatia ugali.. Hongereni kwa kweli.. mahakama ya Kadhi italeta nini!!!??.. badala ya kujikita kwenye elimu, Utunzi wa vitabu, tunang'ang'ania mambo ya aibu.. ai...
  13. R

    Kumbe ukiwa na fedha sana serikali haikugusi..

    basi pita polepole usitukanyage wenzio..!
  14. R

    Tupeane angalizo na rai kwa wote

    Inshallah , Shukrani mkuu, wengine umetukutilizia na kalamu twataka andika 24 faster. sure lazima tufikirie kwa makini
Back
Top Bottom