Tangazo official bado, lakini habari za usaili wala mjomba ake na usaili hazipo tena , kaa kwa kutulia soon watatoa tangazo then mtapangiwa vituo vya kazi
Niwakumbushe tu ndugu zangu mnaosaka ajira walio vyuoni na mlio na wadogo zenu vyuoni kuwa hali ya ajira katika taifa hili ni mbaya mno tena isiyoelezeka, mfano nlichokiona kwa hizi ajira za walimu mfano simple tu ,Tangazo la ajira lilitoa nafasi 184 kwa walimu wenye degree ya Kiswahili, lakini...
Walimu kuitwa kazini wategemee kuanzia January maana interview yenyewe haijulikani ni lini ila mwaka huu wasahau kabisa, jamani walimu kuweni na subira tu mambo yashaharibika ila binafsi naona TAMISEMI walikuwa vizuri sana
Walimu pdf lao soon linakuj wakae mkao wa kula, kuna dalili kubwa sana kukawa na mapumziko yasiyozidi cku tatu baada ya usaili wa mahojiano kada ya afya kumalizika tarehe 13 sept ,ni mwendo wa kubandika bandua hili nalo liishe watu wadeal na ratiba zingne , taifa lina mambo mengi ya kufanya...

Hiyo barua ya utambulisho wa serikali za mitaa lazima iwe ya sehemu ya permanent address yangu au popote pale nlipo kwa sasa
Hiyo barua ya utambulisho wa serikali za mitaa lazima iwe ya sehemu yenye makazi yangu ya kudumu au popote nlipo kwa sasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.