Recent content by Rakim Swaleh

  1. Rakim Swaleh

    Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

    sure walifungua mi ni mmoja wa waliofanya application tareh 15may saa sita usiku na nilifanikiwa. ..ila badae tareh 15may ikasemekana wamesitisha hadi wakitangaza tena. Ila system kuanzia saa saba night inakuwaga available, ila kwa day system inakwambia watafungua hiv karibun kuanzia sasa...
  2. Rakim Swaleh

    Tetesi: Masada Nacte

    Kwa Callender ya Nacte Siku ya tarehe 15 may 2019 ni ufunguzi wa Udahili. Majira ya saa sita usiku 15 may 2019 nilifata utaratibu wote wa Application na kukamilisha nikachagua vyuo vitano. System ilitaka ni fanye follow up mara kwa mara kwa updates zaidi. Siku ya tarehe 17 may 2019...
Back
Top Bottom