Pole sana mkuu, haya mambo yapo na baadhi ya watu hawataki onekana kuwa wanayasadiki, Mungu yupo na Ufundi upo na hata hao Mafundi wanamuomba Mungu upate kusaidiwa ni kalama aliyopewa kibaya usiue na wala usiwe kikwazo kwa watu wengine, kajitibie kaka tunasema KAOGE utakuwa safi na mambo...
Waite sehemu wote wawili ila iwe sehemu ya wazi isiwe ndani wanaweza kukudhuru then wape ukweli afu waachie maoni kutoka kwao kama wakiamua kukuacha wewe sawa kama wakiamua uwaoe wote sawa oa wote kama dr fulani hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.