Recent content by RaJhumoR

  1. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Milango ya Mitondoo

    Ebwana, Habari wana JamiiForum Nimeleta muswada huu mbele yenu kutangaza biashara ya milango (USED) kutoka kwenye nyumba ya mshua mmoja mtunzaji sana wa mali zake Aisee hii milango iko katika good condition na ipo sokoni mpaka kesho kutwa ambapo boss akikosa mteja ataigawa anapojua Kwa...
  2. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Business Frames for Rent ( Bonyokwa/Kinyerezi Road)

    Hello Habari wana JF I present you Frame zilizoisha na zinahitaji wateja wenye ndoto za kuanza au kuendeleza biashara zao eneo la Ditopile, Barabara ya bonyokwa to kinyerezi Frame hizi zipo 9 ila kwa sasa zimebaki 3, Na mkataba unaanza rasmi tarehe 1 June hivyo basi nawaomba na nawasisitiza...
  3. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kukodi Frem, Ditopile (Njia ya bonyokwa/Kinyerezi)

    FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile) Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa! Tunakukaribisha kwenye eneo jipya lenye muonekano wa mtaa wa kisasa – mahali ambapo ndoto za biashara zinachipuka! Kuna freimu 9 za biashara zilizojengwa kwa uimara na ubunifu, tayari kwa biashara za kisasa...
  4. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile). Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa!

    Hahaha brother unaua punguza sarcasm Sawa kesho nitawatumia all necessary Information pamoja na pictures
  5. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile). Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa!

    Chaka utaingizwa na mtu atakayekuambia ulipe kabla ya kufika eneo Kwani brother wewe ni mtoto mpaka uingie chaka ? Hahaha ahsante kwa kudadavua ila imeniuma kusema utapeli
  6. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile). Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa!

    Chaka utaingizwa na mtu atakayekuambia ulipe kabla ya kufika eneo Kwani brother wewe ni mtoto mpaka uingie chaka ? Hahaha ahsante kwa kudadavua ila imeniuma kusema ni ughaini
  7. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile). Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa!

    Basi naomba siku ya leo nikienda tena site ntaaachukulia Picha zote mjiridhishe !!! Ila sehemu ipo ni vile sijaupdate gallery yangu maana ndio ipo finishing hivyo kuna kadhaa kadhaa bado
  8. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile). Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa!

    Ahsante kwa kunieleza ! Ila usiniponde ndugu nitaweka
  9. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile). Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa!

    Baada ya Mzozo wa jana nmeleta Picha za Fremu NIMELERA PICHA JAMANI NJOONI MUANGALIE FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile) Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa! Tunakukaribisha kwenye eneo jipya lenye muonekano wa mtaa wa kisasa – mahali ambapo ndoto za biashara zinachipuka! Kuna...
  10. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Yas wapunguze Promotion Texts

    Naelewa kuwa kampuni ikipitia new Board inakuwa na mabadiliko ila hili swala la kupush notification hizo za "Ongea Zaidi" "Data Zaidi" kila siku message za "Nunua kifurushi cha INTANETI cha Tsh 500 au zaidi mara 3 kwa wiki hii upate OFA ya GB1 kwa Saa24. Piga *147*00# kununua vifurushi vya...
  11. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Help Me Understand some minor Details

    Thansk for engaging, Firstly I was not stipulated into these decisions or Mentality, It was my way of living that made me curious about what life might hold for me if I keep having these "bastard son titles", , My dad for one was also a bastard, so the reign goes on and on, So I want to put an...
Back
Top Bottom