Recent content by rajabhussen-gunnerz

  1. R

    Muumini auawa na mchungaji

    Mazingaombwe yamekataa inawezekana kuna jamaa atakuwa kageuza shati au tshirt ndani ya kanisa,ona sasa kashaua mwenzake,ukongaaa ya kisouth hiyooo inamuita,,pole mchungaji,,vitu vingne sio vya kujaribu,,ukijikuta fundi kuna wenzako mafundi zaidi
  2. R

    Mzee Akilimali atuomba radhi, lakini amesimamishwa uanachama wa Yanga

    Mimi nadhani ni vizuri timu zetu ziendeshwe kibiashara zaidi,porojo za kusema timu imekodishwa kwa miaka 10 hazina msingi wowote,mpira pesa siku hizi,,
Back
Top Bottom