Habari za muda huu Ndugu zangu.
Naomba kusaidiwa kitu hiki kwa anayejua .
Aniambie viongozi wa Tatu wa serikali ya Tanzania waliwahi au wamewahi kwenda kinyume na codes of ethics .Naombeni majibu please jaman
Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine ,mana mm natumia whatsApp officiall ambayo ni whatsApp messager, juz waliniban nikawaomba walinifungilia nikazisoma sheria zote sijui kutamia whatsApp official, kuapdate whatsApp, na mengineyo. Me nikaona isiwe tabu...
WhatsApp waniban Namba yangu baada ya hapa nikawaomba kupitia email yao na wakanifungulia ila ajabu Kila nikitaka kulog in wananiambia kwamba situmii officially whatsApp na muda huo natumia Official whatsApp, na nimeapdate kabisa lakini bado.
Tusaidiane hapo jamani kwa anayejua.
Ujumbe wenyewe...
Habar za mida ndugu zangu. Mimi nahitaji msaada wenu kuna tatizo linanisumbua.
1. Katikati ya kifua na tumbo panavuta Sana kwa ndani mpaka nahisi kama nimeweka mzigo mkubwa maana nahisi uzito.
2. Nahisi Ganzi kichwani, Mbavuni, tumboni na hii inapelekea mbavu na kifua kuhisi kama nimebanwa...
Habar zenu Jamani
Naomba msaada wa hili tatizo langu la WhatsApp yangu KUFUNGIWA.
Hili tatizo limekuwa kubwa Sana kwangu, nimejaribu kutuma message kwa watsapp support kwa Mara ya kwanza walinifungilia nimetumia SIKU 2 wakanifungia tena na muda huo wakanifungia namba nyingine tena, nimejaribu...
Yes nimecconect na computer nimegundua yawezekana ni 64GB kwa maana kwenye computer inaonesha 46 free space of 51GB.Nahisi ni fake tu.Asante kwa ushauri
Naombeni kunijuza izo picha mbili chini ni tofauti lakini zinatoa information ya kitu 1 yan ni hivi ninasimu ya Oppo A 83 ambayo storage ya ndani inaonesha 128GB ram6 lakini ukiingia gsmrena ukiangalia specification inaonesha tolrola simu iyo mwisho storage 64GB kama pichaya1 apo chini inavyo...
Inayo Yenyewe inaonesha storage 128 sa nashangaa ukidanlowd file manager play store lenyewe inaonesha ni storage 64GB ,Me nachohofia Au hii Oppo ni fake
Jamani nahitaji kufahamu, nina simu ya Oppo A83 ina Ram6 na storage 128 lakini kinachonishangaza ukidawnload fail la file manager linakuonesha 64GB ndo storage, sasa sijaelewa hapo nisaidieni wajuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.