Hakumpa mtu simu yake, ila hapo sku za nyuma aliibiwa simu , aka renew line, na info za kurenew line ndo walizoanzia nazo mazungumzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Style kama hii ndo aliibiwa , walimhadaa kwa kumwambia kua ameshinda pesa laki moja.. then ili aipate wakamwambia afuate maelekezo ambayo walikua wakimpa. Na maswali kama una kias gani cha hela yalikuwepo.. all in all anasema aliingia kwenye menu ya tigo pesa, then nahis option ya jihudumie...
Wadau, juzi mtu wangu wa karibu alitapeliwa kias kikubwa sn cha pesa ,kupitia tigo pesa.. lakin anasema hakuenda kwenye sehem ya kutuma pesa, wala hakuwatajia hao jamaa namba ya siri.. tufumbuane macho wadau mchezo gani unaoendelea hapa kwenye hizi huduma za pesa kupitia mitandao ya simu
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.