Recent content by raisiajaye

  1. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Mimi bado naamini taasisi ya uraisi inajukumu la kumlinda Rais na siasa chafu kama za hii kampuni ya kikenya ,10% ya mawaziri itateketeza taifa na kumcost rais 2025
  2. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Moja ya kanuni yangu ni kutosema uongo , nilichokisema kipo wazi na wakifanya uchunguzi watayaona ninayoyasema haya. Najua watachukia sana ,hasa mawaziri ambazo wameweka nguvu kwenye hili lakini Nimesema watanzania lazima wajue hata wakiamua kuichukua hio kampuni
  3. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Nimeweka hoja hapa ,nina aamini watu wanaakili timamu ,watafanya upekuzi wa hii kampuni na watafanya maamuzi sahihi, argument yako naipokea ,jambo la muhimu ujumbe umefika na wahusika wanajua
  4. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Kuna watu ambao sio wazalendo wamezunguka taasisi za nchi hii, wanaangalia 10% basi
  5. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Hili wasaidizi wake wanamwingiza chaka
  6. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    JPM hakua Mungu , reference ni kuonyesha kua kampuni hio imeshakua vetted na kuonekana sio
  7. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais samia hataki mambo haya ,sema kuna watu wamemzunguka wanatumia vibaya credential zao
  8. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Bahati mbaya sana whistle blower wa nchi hii hawasikilizwi , watu wanajali 10%
  9. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais hana mkono wake kwenye hii scandal ,lakini kuna watu wanamtafutia ajari kwenye haya mauozo
  10. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Nimefanya reference ya uozo wa kampuni hii kwenye nchi ambayo imehusika, nini kingine nikisema uamini? ukweli nauchora kwamba mambo yameoza
  11. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Nchi inaoza mbele ya macho yetu
  12. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    watu wanaleta takataka nchini kwa kigezo cha uwekezaji
  13. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya Wametapeli...
  14. raisiajaye

    Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

    Ninaamini hakuna njia bora ya kutatua mambo isipokua kwa weledi ,siamini kama kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais
  15. raisiajaye

    Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

    Wakikusikia movement for change watakupiga mawe😂😂
Back
Top Bottom