Recent content by Rais wa kondoa

  1. Rais wa kondoa

    JamiiForums Tanzania Bei ya gunia moja la mahindi kwa mwezi huu wa Februari

    wadau hivi tani moja ya mahindi ni sawa na gunia ngapi ? Pia ningependa kujua bei yagunia moja bei miezi hii February 2018 Ahsante
  2. Rais wa kondoa

    JamiiForums Tanzania Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

    Tupo wengi Kama hao in USA lakini tunahofu na maisha ya bongo hapa nafikiria hata nikimaliza masomo yangu je ? Nirudi bongo elimu yangu itathaminiwa or nitafute ajira Huku Huku ? Huku kuna wasomi wengi mno from Tanzania lkn wengi walishaogopa nakukata tamaa kuhusu bongo na life style, mfumo...
  3. Rais wa kondoa

    JamiiForums Tanzania Bei za mashine za kusaga na kukoboa mahindi

    Wadau naomba kujua mashine za kusaga unga wa sembe na kukoboa zinapatikana wapi kwa dar es salaam ? nabei zake tafadhali Ahsante
Back
Top Bottom