Recent content by Rais Msomi

  1. Rais Msomi

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Write your reply... Huu binafsi nauchukulia kama utani tu.Kwani huwezi kulazimishs mlaji anunue nini sokoni wakati matumizi ni maamuzi ya mtu binafsi. Sasa hapo nini maana ya ushindani wa kibiashara? Uwepo wa kampuni nyingi maana yake unawapa watumiaji uchaguzi wa kupata huduma nzuri.Sasa...
  2. Rais Msomi

    Jaji Mutungi awakalia kooni CHADEMA. Awapa siku tano kuja na majibu yanayoridhisha!

    Afuteee tuoneeeee!!! Mimi nawashauri hata CDM wasimjibu tuoneee!!! Km yeye mwanaume Afuteee,sasa!!!
  3. Rais Msomi

    Jaji Mutungi awakalia kooni CHADEMA. Awapa siku tano kuja na majibu yanayoridhisha!

    Ni vigumu na wala huwa sihangaiki na mtu aina ya jingalao..... It is simple tu msajili kama mwanaume si akifuteee tuoneeee....Mbwembwe za nini sasa?
  4. Rais Msomi

    Msaada juu ya Hearing Aids!

    Asante sana Kipilipili!!!
  5. Rais Msomi

    Msaada juu ya Hearing Aids!

    Nadhani Vifaa vyenyewe vinafahamika hivyo!! Nadhani ujumbe wake uko wazi ungeweza tu kusaidia hata bila kuona lugha iliyotumika ni kikwazo kwako. Naomba msaada ndugu yangu Gentamycine!!
  6. Rais Msomi

    Msaada juu ya Hearing Aids!

    Masikio yangu yana kelele nyingi mno...sasa kwa maelezo yenu hapo juu nakuwa bado niko kwenye dilemma.... Juu ya kipi au uamuzi gani nichukue!!
  7. Rais Msomi

    Msaada juu ya Hearing Aids!

    Kwa bahati mbaya sina picha yake.Kwani hakutaka kunionesha mpaka niwe na hela.Nina mpango wa kurudi kesho labda naweza kumuomba nivione kabla ya kuchukua maamuzi ya kuvinunua.
  8. Rais Msomi

    Msaada juu ya Hearing Aids!

    Naomba Msaada kwa haraka ndugu zangu katika hili.
  9. Rais Msomi

    Msaada juu ya Hearing Aids!

    Habari Wandugu wa Jf!! Ndugu naomba msaada wa haraka kwa mtu yeyote ambaye ana uzoefu wa kutosha ama amewahi kutumia Hearing Aids kwani nina matatizo ya masikio. Last week nimefika KCMC,nikaonana na Specialist wa Kitengo cha ENT,kwa kuwa ilikuwa Rufaa alifanyia check up na baadaye...
  10. Rais Msomi

    Tundu Lissu kumfuata Zitto Kabwe ACT wazalendo?

    Acha kugeuza Mjadala we MwanaLumumba!!! Mjadala wa leo ni Uchaguzi wa Marudio Kinondoni na SIHA. Mjadala wa leo ni jinsi gani Polisi wanavyotumika kuua,kutesa na kupiga mabomu na risasi watu wasio na hatia na wasio na siraha yoyote mkononi. Mjadala wa Leo ni juu ya kwanini Mkurugenzi Mtendaji...
  11. Rais Msomi

    Kwanini wafamasia wa maduka ya dawa hawalipi kodi? Serikali iwamulike watu hawa

    Huyu jamaa hata Pharmacy Act huijui,unaleta wivu kwa watu na taaluma zao.Niko kwenye usafiri..nitakujibu vizuri nikifika nyumbani. Cha msingi acha kupotosha umma.
  12. Rais Msomi

    Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    Ujinga mtupu!! Ningekuwa Mkt wa Chama Taifa.Ningepiga marufuku huu ujinga wa kupokeana na kununuliana. Ila kwa kuwa JMP anataka kuwakomoa UKAWA hili game naona analifurahia sana.Na alipo anapiga push ups tena akisema watanikomaa mwaka huu. Tusubirii tuonee!!
  13. Rais Msomi

    Kwanini Rugimbana alifutwa kazi ukuu wa mkoa Dodoma?

    Tetesi za kitaa ni kwamba alifeli kukamilisha mradi wa maendeleo ya kushusha nguvu za mwanaharakati mtukutu aishiye Idodomya..... Hii ilikuwa katika dhana ya Hapa Kazi Tuu. Akili Mkichwaa!!
  14. Rais Msomi

    Marekani: Tuko tayari kusaidia uchunguzi wa shambulio la Lissu ikiwa Serikali itatoa ruhusa

    Kiufupi Kabisa Bora Kurudi Chattle kuliko kuruhusu Uchuguzi wa Mmarekani. Hawawezi Ruhusu Kitu hichi!!
Back
Top Bottom