Recent content by RaiaMimi

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoishi na wenza mnawezaje kuvumilia mapungufu yao?

    Pombe zinasaidia sana Mkuu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

    IVF ni msaada kwa mwanamke mara nyingi. Sababu ili IVF ifanyike sperm analysis inafanyika kujua kama Baba uko vizuri. Pia, inaweza kuwa msaada kwa Baba sababu sperm nazo zina mambo mengi... unaweza kuambiwa zipo vizuri lakini badala ya kwenda mbele zinarudi nyuma.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taasisi ya ndoa inahitaji maboresho kuendana na wakati

    Kwanini ndoa sisiwe "easy entry easy exit"?
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taasisi ya ndoa inahitaji maboresho kuendana na wakati

    Hapana Mkuu sijaichoka. Ila niulize swali, unatakiwa kufanya nini endapo umeingia kwenye ndoa na mdada ukitarajia baada ya muda mtapata watoto wenu. Unakuja gundua mdada alishatumiaga maP2 na masindano ya uzazi na baada ya ndoa uzazi umekuwa wa shida kwenu?
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taasisi ya ndoa inahitaji maboresho kuendana na wakati

    Ni kijana wa makamo tu na nina ndoa moja inakaribia mwaka sasa.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taasisi ya ndoa inahitaji maboresho kuendana na wakati

    Habari wandugu, Hii taasisi ya ndoa naona inahitaji maboresho makubwa kuendana na wakati kwani kwa sasa mitazamo na tabia za watu zimebadirika sana. Hivyo kubaki na taasisi yenye misingi ile ile kwa miaka na miaka si jambo sahihi. Ndio maana sasa ndoa zinavunjika, wanandoa wanasababishiana...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sababu za changamoto za Uzazi kwa Mwanamke

    Wadau! Hebu tujuzane sababu zinazopelekea changamoto kwa mwanamke kubeba mimba. Mara unasikia hormonal imbalance, mara cyst..... Kwanini yote haya??
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wetu ndio walifurahia ndoa, sisi vijana wa sasa tunapambana tu

    Habari Wadau, Kwa maisha niliyoshuhudia mwenyewe na si kuhadithiwa nina kila sababu ya kusema kuwa wazee wetu ndio waliofurahia ndoa na sisi vijana wa sasa tunapambana tu. Sababu za kwanini nasema wazee wetu ndio walifurahia ndoa ni chache tu ila ni nzito na zinasababisha ndoa kuwa mzigo...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Inasikitisha sana. Ila naamini Dav alikosa ushauri mzuri. Pengine angeweza bakiza sehemu kubwa sana ya mali zake upande wake na kiasi kidogo kwenda kwa mtalaka wake. Sababu kama ulivyoeleza sehemu kubwa ya mali zake alizipata kabla ya kuoana na huyo mwanamke. Pia, hatuwezi jua Mapenzi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ukiegesha gari vibaya, faini kwa gari ndogo ni Tsh 200,000 na Tsh 10,000 ni gharama ya gari kulala yard kwa siku moja

    Hapana. Utawala wa sasa si onevu ila unawaacha watendaji kujitengenezea dili za kuumiza watu kama hizi. Sababu katika mazungumzo nao nilifahamishwa kuwa hiyo faini ya 200,000 inagawanyika kama ifuatavyo: Tsh 100,000 inaenda kwa halmashauri Tsh 50,000 inaenda kwa mzabuni/kampuni ya kukamata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ukiegesha gari vibaya, faini kwa gari ndogo ni Tsh 200,000 na Tsh 10,000 ni gharama ya gari kulala yard kwa siku moja

    Habari Wadau! Wiki hii katika harakati zangu nimekumbana na kadhia ambayo ikanisikitisha sana. Ilikuwa majira ya mchana niliposimamisha harakati zangu na kuelekea sehemu ya kupata chakula cha mchana. Nilipofika pale kama ilivyo siku nyingine zote ambazo huwa naenda kula mahali hapo, nikaegesha...
Back
Top Bottom