Recent content by Raheri Baraka

  1. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kazi

    Mimi ni msichana wa miaka 29 nina shahada ya kwanza ya kodi (taxation) naombeni mnisaidie kazi au mwenye kuzifahamu recruitment agencies ambazo zinaweza kunipatia kazi maana nishapeleka sana cv ison na erolink lakini sikufanikiwa. Mwenye kuweza kunisaidia awasiliane na Mimi kwa namba 0684 565237...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Muongozo kupata kazi bank

    Amesema anataka kuwa bank teller lazima aweze kuhesabu kwa mkono tena kwa speed,ili mashine zikizingua za kuhesabia hela,aweze kutoa huduma kwa wateja,la sivyo awe anaenda na 50,000 hadi 100,000 kufidia loss anayopata
  3. R

    JamiiForums Tanzania MAONI: Vijana wengi ni wavivu na waoga.

    Labda vigezo hawakuwa navyo mkuu
Back
Top Bottom