Recent content by Rahanism

  1. R

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Samahani sana mkuu, sikuwa nimeelewa vizuri post yako, sasa nimekuelewa na kweli nilikurupuka kujibu bila kupata uelewa wa kina, Mungu akuepushe na mabaya niliyotamka maana nimeyabatilisha kwa kinywa changu, samahani kwa mara nyingine tena.
  2. R

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Asante mkuu.
  3. R

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Nimejitahidi sana nisikutukane, kabla ujafa haujaumbika. Unanidhiaki na kunidharau kwani haya matatizo niliyataka mimi? Nimpango wa Mungu mtu kuwa jinsi alivyo au atakavyo kuwa baadae. Ninakuombea upate ulemavu mkubwa mzito sana halafu watu wakudhihaki na kukudharau kama unavyonifanyia mimi...
  4. R

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Bila samahani, kuwa hanithi ni kwamba kiungo chako cha kiume kinakuwa akifanyika kazi na hii haina kabisa uhusiano na ushoga kwa sababu mtu akiwa hanithi bado anaendelea kuwa na homoni za kiume na pia kuwa sex orientation yake, mimi pamoja na kuwa na changamoto hii sexual orientation yangu ni...
  5. R

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Ndugu nina changamoto hii lakini napatwa na upweke sana kukaa pekee yangu, hivyo, ninamtafuta mwanamke mwenye changamoto kama ya kwangu ili tuishi pamoja na tupeana company na faraja na tushirikiane kutafuta maisha maana ninao uwezo wa kumtunza mke na nina kazi nzuri tu. Simuhitaji kabisa...
  6. R

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Mimi ni mwanaume, hata mimi pia natafuta mwanamke wa kupeana emotional support bila kuhusisha sex, niko serious kwenye hili na ninasema ukweli kutoka ndani ya moyo wangu. Nilitamani sana siku nyingi kupata mwanamke wa namna hii. Ni imani yangu kuwa mimi na wewe tutaishi maisha yenye upendo wa...
Back
Top Bottom