Recent content by Ragita

  1. R

    Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

    Kwa maana hiyo unaipokelea posta ? ? au watakuletea ulipo kama ilivyo address ? ? tusaidie kulewa
  2. R

    Ali Express wanakuletea mzigo wako hadi ulipo kama DHL?

    ALI EXPRESS WANAKULETEA MZIGO WAKO HADI ULIPO KAMA DHL ? Wakuu naomba msaada wenu kulielewa hili, Ni mara yangu ya kwanza kununua na kutuma/kuletewa mzigo nilionunua na Aliexpress badala ya DHL ambao hukuletea mzigo hadi ulipo. Swali langu jea hata hao aliexpress...
  3. R

    BRELA yafumuliwa

    Kwa sasa hali ya utendaji BRELA mnaionaje inaboreka au vile vile ?
  4. R

    Ushauri: Serikali iitazame vizuri taasisi ya Brela haiko karibu na Wananchi

    Members natumaini hamjambo. Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika. Lakini kutokana na mapungufu yaliokuwepo, na mahitaji halisi ya wadau/wateja/wananchi kwa sasa bado sana...
Back
Top Bottom