Recent content by Radonde

  1. Radonde

    Msaada: Nahitaji nafasi ya kujitolea Pasada

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua mbinu za kuwa volunteer pale pasada ni zipi maan nilienda walininyima msaada wakuu
  2. Radonde

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Mkuu tuambieane Iyo michongo jamani jua ni kali mnoo
  3. Radonde

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Mchongo ndo huo kazi kwenu mm ningepeleka cv zangu tatizo mfupi naomba mnisaidie na mm bado sijspata ajira
  4. Radonde

    Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Magari ya kawe omba msaada kituo kinaitwa kwa mwinyi ukishuka ulizia office za gardaword utaelekezwa sio mbali ukifika unakutana na huo ubao wa matangazo
  5. Radonde

    Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Ww nenda pale kasome kwenye ubao wa matangazo hata lasaba wanakubaliwa utapigwa [emoji23] shauri yako
  6. Radonde

    Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Na Kama ndio tupostie basi vigezo na masharti ya siku ya kupeleka ili mtu ajiandae sio anaenda anaambiwa kachelewa au sio siku iyo msaada tu mkuu naomba kama hutojali vigezo kwa both side walinzi na madereva
  7. Radonde

    Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Mkuu operation manager wa gardaword tawi la mwanza?! Au sijakuelewa vizur
  8. Radonde

    Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Nenda pale office zao ziko kwa mwinyi utakuta ubao wameandika masharti yao na vigezo vyao na siku ya kupeleka na muda wakufika nakushauri nenda usisubiri kuambiwa kila kitu wanavimasharti vingi kidogo
  9. Radonde

    Library Assistant at Water Institute - 2 Posts

    Iko wapi iyo water institute tupeleke maombi
  10. Radonde

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Mkuu nenda ferry pale kivukoni utapiga ela mpk ukimbie fanyia pale stendi za mabasi utakuja nishukuru
  11. Radonde

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Msaada Ndugu zangu naomba kujua kiwanda cha afya kiko wapi hapa dar es salaam na vipi kinatoa ajira au kibarua ?!msiniangushe nawaaminia Asanteni
Back
Top Bottom