Habari wanajamii,
Katika muda wa miaka 3 (2010-2013) nimekuwa nikifuatilia siasa za CHADEMA VS CCM kwa karibu. Ktk uchaguzi wa 2010, CHADEMA ilionekana kuungwa mkono zaidi mijini huku CCM ikiungwa mkono zaidi vijijini.
Baada ya uchaguzi wa 2010, nafikiri chadema wamegundua kuwa kuna haja ya...