Habarini wapendwa kwa mara nyingne Tena! Ikumbukwe " Utajiri wa mtu ni watu" [emoji3526] naombeni sapoti yenu kwenye Andiko langu la " Afya Bora Tanzania" kura yenu ndo ushindi wangu! [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Nawapenda! [emoji3531]
AFYA BORA KWA WATANZANIA:
Afya ni hali ya kuhisi/kujisikia vizuri kimwili pamoja na kiakili pia.Hivyo afya bora sio kula vizuri tu, bali hali nzuri yenye utulivu katika mwili na akili pia.Mwili wenye afya bora na njema huhitaji vitu kama vile mazoezi kiasi, muda wa mapumziko n.k. Yafuatayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.