Recent content by Rabuor

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kamati kuu (CC) ya CCM iliwabania Prof. Lipumba na Dr Slaa?

    Silaa na Lipumba wanasoma Namba ya ccm ,Lipumba kaambulia kufutiwa kesi ya kuandamna ameokoa na wanyonge ambao wangefungwa ndio ongera tunawapa cc!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ghafla Waziri wa Mambo ya ndani kafika kituo cha Polisi Msimbazi

    Lini wanaenda
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ziara za ghafla mwisho wake Dar? Matatizo ya Watanzania yapo Dar es Salaam pekee?

    Hivi wewe maisha yako unaendeshaje,mbona kila sekunde uko kwenye mtandao au wewe muuza madawa ya serikali kwenye hospital sukuelewi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ziara za ghafla mwisho wake Dar? Matatizo ya Watanzania yapo Dar es Salaam pekee?

    Muhongo kasema Umeme wanatoa Ethiopia vipi Gesi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ndio aina ya marais wanaotakiwa katika nchi kama Tanzania

    Uzuri wake nini kuwaweka ndani vidagaa vya Tra ,vipi kjenga viwanda alivyohaidi,kaanzisha mahakama ya mafisadi ,Thamani ya tsh dhidi ya dola imebadilika , na vipi mfumuko wa bei ya vitu ikoje ?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

    Kaulize Tra kwamba viroba vinachangia pato kiasi gani kwa ccm ndo uje ulaumu wanywa viroba !!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Tunataka fly over Mwanza,atachokaje na hajajenga ?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini?

    Bila kusahau nafasi ya umakamu wa urais wa muungno wa tz hiyo nafasi ni ya watu wa dini fulani wakati huko na wakristo wapo huko
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mdahalo uliondaliwa na TAHLSO wa Kujadili hotuba ya rais Star TV

    Vipi Diallo ajapewa shavu na na taasisi si alipamba sana wakati wa kampeni kupitia media yake make wizara zimebaki chache!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Kazi ya kukamata dagaa,huku papa wakiendelea kuuma watu Baharini
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Baraza dogo la Mawaziri

    Hivi baraza dogo la mawaziri 19 wala si 18 ukijumlisha na manaibu wao watafika zaidi ya watu 30,baraza lenye watu 30 ni baraza dogo ??? Ebu tafakarini hili.
  12. R

    JamiiForums Tanzania UKAWA ni wazembe wa kutupwa

    Sio kila muda unatakiwa kuongea utachosha watu,wakati wa Msiba wa Mawzo ulikuwa hauwaoni kwenye media,wakati kiongozi wao kauwawa kiongozi gani wa ccm katoa pole,waache ccm wagombane wenyewe wewe unataka waongee nini
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwanahalisi lawatusi Dr. Slaa na Lipumba

    VIPi kipindi kile Msukuma/Nape/Lusinde kumtukana Lowasa kuwa kujinyea wakati wa kampeni kupitia Runinga ya star tv vipi ukilonganisha na ya akina Lipumba ipi ina ahueni
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa UKAWA: Unamaanisha kupinga yanayofanywa na Rais

    Kazi gani mmefanya ?? Kushtaki wanafunzi Tra huku mkiwaacha walimu wao mtaani wanatanua huo ni uonevu
  15. R

    JamiiForums Tanzania UKAWA na upinzani kwa ujumla tubadili "Gea" tena

    Huu ufisadi toka nchi ipate uhuru ni ccm ndio wanaotawala haijawai kutokea upinzani kuongoza Tanzania kama mafisadi Wako ndani ya ccm na ccm yenyewe ndio imeanza kupambana na mafisadi wake sasa upinzani wanahusika nini,kuiba muibe wenyewe kushtakiana mnashtakiana wenyewe iweje mtukebei wapinzani...
Back
Top Bottom