Recent content by raakha

  1. raakha

    JamiiForums Tanzania Ya Djibouti kama ya Tanzania

    Serikali ya nchi ya Djibout imevunja Mkataba wa uendeshaji wa Bandari ya Doraleh nchini Djibouti kati ya Serikali hiyo na Kampuni ya DP World ya Falme za Kiarabu (UAE), Na kuishtaki kampuni hiyo. Serikali ya Djibout imechukua maamuzi hayo magumu baada ya kugundua vipengele vya Mkataba huo...
  2. raakha

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Jerry Muro?

    Ashaatemwa zamani
  3. raakha

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Jerry Muro?

    Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu. Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni Bora angebakia msemaji wa Yanga kipaji CHAKE kingekua na asingalipotea kirahisi hivi.
  4. raakha

    JamiiForums Tanzania CCM mjifunze kuwa hampendwi. Mbunge kuitisha mkutano na kukosa watu si dalili nzuri

    Kikao saa nane bwana acha umbea, hayo maandalizi tu.
Back
Top Bottom