Viongozi mwogopeni mungu haya mnayowafayia wananchi hayapendezi.Nendeni mkawakalie itikafu mungu atajibu dua zenu.Watafuteni watu wenye takwa wawafanyie kazi.Nichoshwa na hili na linaumiza.Wambieni wakajenge viwanda vyao nje ya mji kuondoa msongamano wa magari mjini.Hili litawagharimu,itafika...
Jamani watanzania,kwanini hatutaki kuamini kwamba nchi hii haina amani ila ni woga tu uliopo ndani ya mioyo yetu ndio unaotufanya tuonekane nje kama tuna amani.Naomba ni anze kwa kuuliza swali,unamfahamu balozi wa Tanzania nchini china?Unafahamu ana kashifa gani,je nikisema yupo kule kwa maslahi...
Huu ni ujinga,haya hayavumiliki akifaponda waislamu kaenichinim sasa msome ararubadili.Tumechoka na uongozi unaoua hadi mtoto anafahamu.Akifa njia za kulipa kisasi zipo.Wapo wasomi wa qurani wazuri wenyekufahamu elimu dunia.kwanini mnayafumbia machohaya,mnafaidika a nini.Mlilieni mungu.Au kazi...
Hili naloneno.Watanzania woga unatuponza,hatupendi mkusema ukweli na tunaposema tunakuwa wepesi wa kubadilisha kauli zetu.Mwalimu aliona mbali sana.Leo hatuwezi kupata kiongozi kama yeye tena
Hakuna haja ya kulaani kwani maandiko yanasema amani ya kweli haipatikani isipokuwa kwa ncha ya upanga.Acha waanzoshe ikibidi tupigane ili amani ya kweli ipatikane Tanzania badala ya nidhamu ya woga iliyopo hivi sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.