Recent content by qwii'

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Wapi nikasome unesi ngazi ya diploma, Dar es Salaam

    Mikocheni school of nursing,. kipo mikocheni ndani ya Kairuki hospital.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

    hapana mkuu! sister ang aliomba ila hajapata, ndo kaambiwa eeeet kuna majina mengine ya ngazi ya cheti bado hayajatolewa,...Ndo nauliza hivi yapo kweli au ndo imetoka hivo!!!!!..
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

    Hahaaa! ayseee, yan hyo inayofuta...et ni wale ngazi ya cheti cjui kwel........
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

    et kuna majina mengine bado yanakuja.....ni kweliii?
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa usaili Jeshi la Polisi, graduate 2014

    mmnnhh!, eti wakuu! majina mengine bado yanakuja? ama ndo yote hayo?
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Jaza fomu hii kutoka Kwa baba mkwe kama kweli unampenda binti yangu

    mmmmmmmnnnnnnnnhhhhhhhhhh!!!..
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kipi ni Chuo kizuri cha Counseling and guidiance

    nashukuru sana wakuu! kwa mawazo yenu, vyote mlivonitajia nmevifuatilia, vp kuhusu huku kanda ya ziwa wadau?.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kipi ni Chuo kizuri cha Counseling and guidiance

    Ahsante mkuu! Je ! ni cha government au private? na kipo mjini ama wilayani..
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la polisi Tanzania 2014, baada ya usaili kukamilika

    oh! jaman kumbe washatoa majina 4&6 hongereni, na sie upande wa graduates kidogo aman imekuwepo.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kipi ni Chuo kizuri cha Counseling and guidiance

    Habari wana JF! Mimi ni mwana JF mwenzenu, elimu yangu ni ya kidato cha nne, na course ya Nursing, pia napenda zaidi kusomea mambo ya ushauri nasaha, ila sielewi hivyo vyuo vipo sehemu gani. Nimejitokeza kwenu kuomba mwenye kufaham moja wapo ya vyuo hivo anisaidie kunijuza tafadhali nipo...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Polisi yafutwa

    hili gazeti mbona halina hiyo news? mtoa mada tusaidie habari kamili.
Back
Top Bottom