Ukimaanisha baba aplay part yake kwa kuchepuka ama?.tatizo wanaume huwa mnahisi mna haki ya kuchepuka kwa kisingizio kwamba nyie tu ndo mna nyege na macho ya kuona kumbe ni tabia za kijinga tu wapo wanaume wengine wametua sana,umeoa tulia heshimu familia yako,jali familia yako.juzi hapa nilitoka...
Huwezi kumfool mtu all times,hiyo haiwezekani,utafanya kwa adabu siku ya siku mambo yatakuwa wazi tu. sijidanganyi ila Ukweli wapo wanaume waaminifu kwa asilimia 100, katulia na mke wake tu,
Kwa maana hiyo basi mtoa thread anaposema wanaume wapeni hela mapenzi wenu msigongewe anakosea,maana unaweza mpa hela ila kama humridhishi lazima ugongewe,unaweza mpa hela ila kama uliopoa wa uwanja wa fisi utagongewa tu,unaweza mpa hela ila kama ulichukua asiye type yako utagongewa tu.nadhani...
Wanapenda migegedo tatizo hawa walionao hawawaridhishi au ni mwanaume kakosea njia akajua kaopoa mpenzi kumbe kaopoa wa uwanja wa fisi? Au kaopoa asiye type yake?.
Naombeni kuuliza,INA maana siku hizi hakuna wanawake waaminifu kabisa?? Maana kila ninakopita utasikia wanawake wa siku hizi bhana sio waaminifu hata umpe nini utagongewa tu,kwamba hakuna wanawake waaminifu?
Shida ipo,ila kama imeshindikana kuwa pamoja basi hakuna jinsi,mtoto atalelewa na upande mmoja then akiwa mkubwa atamtafuta baba yake.uzuri Kusudi LA MTU kuja Duniani haliwezi badilishwa na kukosa malezi ya upande mmoja,Kusudi La Mungu juu ya mtoto litabaki palepale
Duuh! Kwahiyo kwa vile nyie nyege zenu ni full time kuchepuka ruksaa?? Halafu unasema wanaume wanachepuka ili mke wake apumzike, kweli??? Apumzike au ajiandae kuuguza Ukimwi??,Mnasingizia sana,ila ukweli kwa mwanaume anayempenda mke wake na kujali familia yake naMwenye hofu ya Mungu, hawezi...
Hawa wanaohitaji Nguo za mil ni wachache tu wasiojitambua,ila single mother wengi mtamumchungu kafuatilie,wengi wako single coz wamekataliwa mimba,na manyanyaso,sio ya Nguo no manyanyaso Yale ya hali ya juu ambayo kwa mwanadamu mwenye roho ya nyama hayavumiliki,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.