Recent content by quinton_gerry

  1. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Cheka nami!

    amesahau mpaka jina la mwanae, atakuwa good mother kweli huyo
  2. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Cheka nami!

    "Anton, do you think I’m a bad mother?" My name is Paul.
  3. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu 10 kwa Nape Nnauye

    Waliokutuma hawajakosea; Maana unawakilisha vema. Hatutaki siasa, tunataka vitendo. Nape aendeleze siasa na Treni itazidi kumuacha.
  4. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    nipo pamoja na wewe; haya maneno hatutaki kuskia, tunataka kuona mambo yanatendeka.
  5. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    huyo mbunge ana sababu zake nyingine...
  6. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe waongea na waandishi wa habari

    Mbona kila saa mzigo unahairishwa; kuanzia saa tano mpaka tisa na nusu. wasiseme conf jumatano tu.
  7. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitaungana na vyama vya upinzani kumsimamisha mgombea mmoja wa urais 2020

    Muungano wa Vyama utaleta Nguvu kubwa sana katika uchaguzi 2020. Yaani kama vipi tuwe kama nchi zilizoendelea; Vyama viwe viwili tu. hapo ndo kujifua kutakua kuzuri.
  8. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    hapo nakuunga mkono, tena nakuunga mkono pamoja na mguu.
  9. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linamshikilia 'James Delicious' kwa amri ya Naibu Waziri Kigwangalla

    I think huyu James ni victim, kutaja majina ya wateja wake sio ishu; labda amseme aliemsababisha apende huo mchezo. kikubwa ni je atasaidiwaje kama victim ili kuweza kurejea hali ya kawaida, maana kutaja majina haitamrudishia ukamilifu wa jinsia.
  10. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    hUYU JAMAA SIMSKII TENA AKIHUBIRI NENO LA MUNGU, BADALA YAKE ANAHUBIRI WANASIASA NA WASANII. UKIMGUSA UNAGEUZWA TOPIC YA JUMAPILI IJAYO.
  11. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aanza chokochoko na Tanzania kuhusu ziwa Nyasa

    KAMA VIPI TUPIGANE...
  12. quinton_gerry

    JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    hapo nimekubaliana na wewe mia ya mia
Back
Top Bottom