Tunauza bidhaa mbalimbali zenye ubora na kwa bei nafuu kabisa ni kwa ajili ya jinsi zote wakaka na wadada.Bidhaa zetu ni :-
1.SET ZA ACCESSORIES/UREMBO
Tunauza set za urembo inayojumuisha (saa, bracelet,cheni na hereni).Aina (brands) tofauti kama Rolex,Rado,Lewis,bvlgari na Versace.Zinavutia...