Recent content by Quincy7 survivor1

  1. Quincy7 survivor1

    Hivi demu akikubania sex kuna mapenzi kweli hapo?

    Hahaa Nmekukubal man 100%....apo ata aje nan lazma akae yan... Like zoteee.
  2. Quincy7 survivor1

    Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Pole mpendwa...but ilo pia n fundsho kua tupo tofaut wanaume.
  3. Quincy7 survivor1

    Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Yan ww unapenda pesa kana kwmba unatoa dhahabu yan kwny.....
  4. Quincy7 survivor1

    wanaume mnataka nini?

    We haukua cngle ww ila typ ya umtakaye ndo umeipata mwny vdola dola n co ao boys
  5. Quincy7 survivor1

    Haya Ndiyo Mambo Makubwa Wanayofanya Wanaume Mara Baada ya Tendo

    Hahahahahahaaaaa uwiiiii.... Yan mbavu naic zmevunjka...et honey honey chup yng ipo wap,,,umenfurahsha sana asee!!!
  6. Quincy7 survivor1

    Athari ya agano la kupoteza usichana/ uvulana wako kabla ya ndoa

    Hmmmm!!! bonge 1 la ujumbe jran.... Sema saiv dunia ya utandawaz hii waschana n wavulanaa kujtunza mpk ndoa n bonge1 la mtihan na cjui nan atafaulu sema mm naamin wapo watakaofaulu...yes yes yooo!!!! Metishaa.
  7. Quincy7 survivor1

    Wasichana wanapoendekeza starehe huishia kuharibu mifumo ya kizazi kisha kuibukia kuiba watoto

    Wahusika wameona km mada haiwahusu iv....labda wapo sawa kifya pengne lakin!!! Ila mada nzur sana nmeielewa...mkuu upo vzur,,, sema wahusika jarbun kuleta mawazo kwny hii jaman!!
  8. Quincy7 survivor1

    Nimechanganyikiwa mwezenu

    Ata mm nmekumaind...apa inamaana simu ingekua na chaji ungeenda tu ata km jamaa wako kasikia mlichokua mnaongea,,, kwel nyie mwalimu wenu kipofu!!!
  9. Quincy7 survivor1

    Nimechanganyikiwa mwezenu

    Km n kuonana bac ungemchukua jamaa wko mukamuone wote uyo mwngne mtarajiwa...inaonekana w bado unachagua mpenz af uridhiki af msili pia kwa mpenz wako
  10. Quincy7 survivor1

    Nimechanganyikiwa mwezenu

    Kuna kitu unafcha dada,,, mana mpk karecod mazungumzo ujue kuna ktu umefanya apo hutak too kusema,,,,na kuhsu kukusamehe jamaa anaumia na meng include gharama anazokugharamia ww af ajue kuna mwngne anakula tunda too kiboyaa...ujue inauma sana
  11. Quincy7 survivor1

    Nimetapeliwa laki na nusu kwa ajili ya kutafutiwa kazi

    pole sana aunt...binadamu hawaaminiki katka hii sayari
  12. Quincy7 survivor1

    FAIDA ZA KUISHI ............... bila mpendhi

    kwa watu walio kua kwny mahusiano iyo kitu kwao haina faida bali n hasara tupu za mawazo meng na kumiss zle moment za mapenz.... Iyo inawahusu sana masingle wale ambao hawajawai kuonja wala kuonjwa.
  13. Quincy7 survivor1

    kuku mgen hakosi kamba... Jaman mgen kaja!

    Nmeshakarbia mdau... Nahitaji uelewa kdgo juu ya forum na kua na marafiki pia
  14. Quincy7 survivor1

    kuku mgen hakosi kamba... Jaman mgen kaja!

    Asante,,.sema nahtaj uelewa kdgo kuhsu hii forum mana kuna baadh ya mambo siyatambui jaman!
  15. Quincy7 survivor1

    kuku mgen hakosi kamba... Jaman mgen kaja!

    Asante na nahtaji marafiki sichagui mana n ushirikiano pia
Back
Top Bottom