Recent content by Quincy CJ

  1. Quincy CJ

    Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

    Umeshapata kazi ? Kuna kiwanda kinatafuta Lab Technician. Qualification, Bachelor of Science in Chemistry or equivalent. Kinaitwa ABinBev kiko Arusha
  2. Quincy CJ

    Msaada: Ushauri kuhusu chuo cha kusoma na kozi yake

    Yeye hasa anataka nini? Anyway mwambie aende DIT, akachukue hiyo CE.
  3. Quincy CJ

    Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Mbegu bora ya nyanya ni ANSAL F1, hii ni Hybrid. . Hakikisha unaandaa mbolea ya kutosha kulingana na ukubwa wa shamba utakalo lima.
Back
Top Bottom