Issue ya rescue operation inaonekana U.S alipata hasara.
Trump kasema yoyote atakaye iongelea rescue operation in a negative way atamshtaki kwa sheria ya national security
Kuhusu ishu ya rescue operation, ni uongo wa kuficha kilichotokea.
Taarifa zinazotoka na analysis za picha kwenye eneo la tukio (wreckage), kulikuwa na intense fighting kati ya U.S special force na Iranian Basaj force.
Kilometer 150, kutoka ilipodondoshwa fighter jet, kuna Old isfahan airport...
Nimegundua wachangiaji wengi (sio wote) watakuwa around 30s na wanatumia hisia kuliko fact.
Ukitaka kupata picha ya hii vita, inabidi urudi 2007.
The U.S. General then Wesley Clark alisema kabisa, watavamia/kuvuruga nchi 4 middle East (Lebanon, Iraq, Syria na Iran) na tatu Africa (Libya...
Hii vita sasa naona imefikia mwisho, ila naona restrictions na censorship ya taarifa imekuwa kubwa hasa za damage upande wa U.S military assets na Israel.
Demona Nuclear power plant,Ben gurion Airport ni sawa na kuwa demolished, Israel hawezi kupokea Direct international flight inabidi atumie...
Kilichotokea jana kwa treasury secretary ni aibu, kuitwa situation room katikati ya interview, na alivyorudi alikuwa anaongea kwa kutetemeka kutoa majibu nje swali. Inaonyesha hali sio nzuri nzuri.
Waziri wa ulinzi Peter analalamikia media sio wazakendo.
Naona pia U.S alipanga kuitumia hii vita kukata mikono Bankers of London, kitu ambacho amefanikiwa.
Kawanyang'anya monopoly ya marine insurance Lloyd's of London.
Israel ilitangaza ni marufuku ku post taarifa za uharibu zinazosababisha na makombora ya Iran, na waandishi wa nje wamezuia kufanya live coverage, na chochote kabla ya ku post idara za usalama zi review
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.