Recent content by queensaniyeko

  1. Q

    JamiiForums Ajira mpya za walimu wa Science na hisabati zaleta sintofaham kwa baadhi ya watu

    na wewe ni walewale huna lolote, toa point na sio kusahihisha kiswahili au hauna point
  2. Q

    JamiiForums Ajira mpya za walimu wa Science na hisabati zaleta sintofaham kwa baadhi ya watu

    huwe na busara haujaelewa alichokiandika? we ndo unajifanya unajua kiswahili? kilaza mkubwa we.
  3. Q

    JamiiForums Ajira mpya za walimu wa Science na hisabati zaleta sintofaham kwa baadhi ya watu

    ulijalibu kuwasiliana nao kupitia moe helperdesk? na wakadhibitisha kuwa kwenye orodha ya waliotuma vyeti haumo? ushauri wangu n kwenda moj kwa moja wizarani wanaweza wakawa na namna ya kukusaidia ilivyeti vyako viweze kuhakikiwa maana wansema mchakato bado unaendelea wa kuhakiki.
  4. Q

    JamiiForums Ubaguzi uliofaywa na selikali katika kuajiri walimu wa sayansi na hisabati kama ilivyo haidi.

    ikifika zamu yao hao wa Arts wakiachwa nao watapiga mkelele kibao.
  5. Q

    JamiiForums Ajira mpya za walimu: Ni makosa ya kiufundi au ndio Double Standard?

    wana namna wanavyoajiri hao maana ata wasayansi &mathematics baadhi hatuja ajiriwa tupo kwenye msoto kama kawaida
  6. Q

    JamiiForums Ubaguzi uliofaywa na selikali katika kuajiri walimu wa sayansi na hisabati kama ilivyo haidi.

    selikali ilitangaza kuwa itaajiri waimu wapatao elfu 4,000 desember mwaka jana lakini kilichotokea wameweza kuajiri walimu elfu tatu na kuwaacha walimu takribani ya elfu moja wakiwa mtaani na wanasifa zote wanazozitaka, wapo pure graduate na post graduate kibao tumeachwa na...
  7. Q

    JamiiForums Serikali yaajiri walimu 3,081 kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi, sanaa ina ziada ya walimu 7,463

    sio ubaguzi wa artstu ata sayansi tumeachwa baazi na tunasifa zote
  8. Q

    JamiiForums Serikali yaajiri walimu 3,081 kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi, sanaa ina ziada ya walimu 7,463

    we acha wengine wa sayansi wameachwa sijui tatizo nini?
Back
Top Bottom