Jaman najiona kama vile Nina bahati mbaya, hivi bodi hawakujua kuwa kuna wanafunzi wanaweza kucarry hata kwa bahati mbya , sasa wanategemea ntaishije..jaman mwenye uzoefu na hili anisaidie, Mimi ni continous student second year, first semester nikiwa mwaka wa kwanza nilipata carry Over ya kozi...