tunawashukuru sana makamanda kwa kutujulisha kinachoendelea kwenye uchaguzi Arusha,,,me ninachomuomba Mungu ni amani itawale,,,najua watu wa arusha wapo vizur na chadema,,chadema in our blood Arusha,.ccm polen ila itabid mkubaliane na matokeo... japo nipo nje kidogo na Arusha lakn tupo pamoja...