Wanawake Gani....
Labda wale WA Karne ya kumi na tisa.
Huyu mwamba TU sijui kakutana na janga Gani!!
Ajitafakari vizuri, yawezekana alipoangukia siyo, au yeye ndiyo siyo!!
Yaani hajaruka na ndege mwenye manyoya yake..
Umeandilka mengi na Kwa hisia Kali. Naamini ulitamani siku nyingi Rachel aingie kwenye 18zako. Hajaingia Bado. Unaamua kuelewa vibaya kwamba Rachel kaja hapa kutafuta mume, ndo maana hajaandika mengi. Ametaka TU tunaomtakia mema tumbariki Kwa kusema AMEN, ili aolewe na mme wake..!!!!
Na Mimi ndo...
Mkuu kumbuka wanaume ni wachache, kati ya hao wachache, waoaji ni wachache zaidi. Kama msichana alishuhudia wenzake kadhaaa waliochangamkia fursa na wakafanikiwa kuolewa, ni wazi kwamba hata yeye hatabaki nyuma.
Mwenyewe umechonga miamba mingi na kuitelekeza ili wengine watumbukie.
Madame zinazoongelea ubikra hazinaga gender balance.!
Wanaume mnaolalama kutaka mabinti mabikra nani kawatoa Hawa wasichana ubikra?
Je, mnaweza kukaa bila kusex Hadi mtakapooa au upwiru wenu mnautolea wapi.?
Acheni kuwarubuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.