Recent content by Quantum

  1. Q

    Mwaka 2005 Mmoja wa Waasisi wa Taifa mzee Mustapha Songambele alimtabiria Magufuli

    So, Magufuli anakubalika mpaka na waasisi wa TANU na CCM!!
  2. Q

    Magufuli huyu ninaye mjua anagombea Urais

    Kubishana na wewe ni kumaliza muda wangu bure maelezo ya Serikali yalishatolewa. Full Stop!!
  3. Q

    Magufuli huyu ninaye mjua anagombea Urais

    Saafi kama unaijua hii youtube, kwa taafia yako huyu CAG mpya alimalizwa na BOT ambako alidai kuna bilioni 70/- zimetafunwa mwisho wa siku issue yenyewe imekufa ndo maana nakuuliza umeona Zitto anakomaa nayo tena???? Udaku mwingine mpaka kinyaa.
  4. Q

    Magufuli huyu ninaye mjua anagombea Urais

    Wewe saizi yako hii hapa, ila katika kashfa za Zitto hili halimo na huyohuyo ndo alilizusha bungeni, wewe umekamatilia.
  5. Q

    Magufuli huyu ninaye mjua anagombea Urais

    Nilifahamiana naye tukiwa Makutopora, Dodoma mwaka 1983, sasa amezeeka na kipala juu, ila namtakia kila lakheli Magufuli JKT Makutopora namkumbuka na namba yake 834 KJ, Dodoma 1983 Magufuli Waziri wa Ujenzi 2015
  6. Q

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Alipigwa STOP lini wakati aliyewahi kupigwa STOP ni Lowassa lakini yeye MAGUFULI aliambiwa na Rais Kikwete azingatie sheria ona hapa: Acha kutumika vibaya jifunze za mayuwayu, achana na matapishi
  7. Q

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Magufuli ni tishio na hata Tunduma ngome ya CHADEMA walimwita JEMBE hata GOBA ngome ya CHADEMA walikubali.
  8. Q

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Kesi hiyo ilisamimiwa na mamtu mafisadi kina Chenge ulitengemea nini wakati Chenge ni fisadi namba moja kila mtu anajua! ulitegemea nini kesi kusimamiwa na Chenge, na ndiyo maana pale kiwanja mpaka leo hakijajengwa na ni mali ya manispaa. Pia ikumbukwe Chenge ni mtu wa Lowassa na Ocampo bin...
  9. Q

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Ocampo ulichokiandika ni ugolo mtupu, nakuhurumia kutumika kama condom! Pata kumjua Jembe Magufuli alivyomuombea Dkt.Kikwete kula kutoka kwa wanachama wa CCM, na ujue ndiye chaguo la wanaCCM! Unasema hana uzoefu wa chama sasa angalia aliyewapa raha wana CCM:
  10. Q

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Hovyo tena mkuu mpaka leo hujui Ocampo Four ni "TIMU LOWASSA" acha kula matapishi ya Ocampo, na ngoja tuje tumvue nguo uone kuwa hana substance!
  11. Q

    Dk. Magufuli ambana Mkandarasi barabara ya Msoga - Msolwa

    Akiwa na Makamu wa Rais Dk.Mohamed Bilal, kufungua barabara ya Msoga kwenda Msolwa wilayani Bagamoyo yenye kilomita 10 Magufuli amesema kandarasi anatakiwa kukaa kuingalia barabara kwa kipindi cha mwaka mmoja kama matakwa ya mkataba yanavyosema. Barabara imejengwa kwa fedha za ndani kiasi cha...
  12. Q

    Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Ukiangalia utafiti wa Twaweza kwenye jedwari hapo juu ukafanya hesabu rahisi ya wastani wa miaka mitatu, utagundua kama ifuatavyo: 1. Mizengo Pinda : (23+14+14)/3 = 51/3=17 2. Edawrd Lowassa: (8+20+17)/3 = 45/3=15 3. Dk. John Magufuli: (8+6+5)/3 = 19/3=6.33 4. Bernard Membe: (5+4+7)/3 =16/3=...
  13. Q

    Msafara wa Dkt. Magufuli wapata ajali Dodoma

    Msafara wa Dkt.Magufuli umepataja ajali Dodoma ukitokea Manyoni baada ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kuingia Manyoni Mjini (Manyoni Access Road) yenye urefu wa kilomita 4.8. Ajali hiyo ilihusisha gari la Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi na la Meneja wa Wakala...
  14. Q

    Makamu wa Rais Dk. Bilal, Afande Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika ajali ya helikopta

    Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm. Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde...
Back
Top Bottom