Recent content by quantum no

  1. Q

    JamiiForums Tanzania M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

    Watu hawajafaham namna inavyofanya kazi. Mf leo nimeweka 1000/- nategemea kwa 13% mwaka mzima ni 11300/- ambapo faida ni 1300/-. Ukitaka kujua kwa mwezi nimekusanya ngap chkua hyo 1300÷12 utapata kama 108/- kila mwezi. Ukitaka kujua kwa siku unapata ngap chukua 108÷30=3.6 kila siku kama faida yako.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kufanya usaili kwenye nafasi hizi

    Mkuu kama una lile tangazo naombab share na mimi whatsa +255743109202
Back
Top Bottom