Karibuni sana wanaharakati,wapiganaji naomba muwe waalimu kwa wanachi hasa mikoa masikini kuliko(Iringa(V),Dodoma,Singida ,Pwani,Morogoro,Lindi n.k Watu wanaona umasikini ni haki yao we need a great Change. Vijana amkeni. Ila nilisikitaka sana niliposikia Vijana wa UDOM wamechanga hela za...