Baadhi ya waendesha Pikipiki ‘Bodaboda” wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wameandamana wakidai kupinga tabia ya Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo kuwakamata mara kwa mara kuwatoza faini na wengine kudai Vyombo vyao vikichukuliwa na Askari hao kupelekwa Kituo cha Polisi hawavipati tena.
Jeshi la...
Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja yule kanambia kuwa shule yao ipo Tayari Kunipa kazi ya ualimu kwa mshahara wa laki moja na nusu...
Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu.
Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu.
Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana.
Naona Sina marafiki...
Wengi mmenifariji sana, nashukuru sana wakuu.
Napenda niseme kitu kimoja sio Kweli Kuwa sisi graduate ni wavivu hapana, mitaani tu hapa hata kazi za ujenzi na ngumu wanapeana kwa kujuana.
Wakuu mnapo ona naandika hapa, mm ni best student kwenye mwaka wetu. Kila napo shika vyeti vyangu roho...
Mimi ni graduate wakuu wa moja ya chuo kikuu. Wakuu Leo nikafika bandarini kuliku na kazi ya kupakia mifuko ya cement kama 5000 kwenye gari ili isafirishwe moja ya mkoa.
Sasa Kuna bro akanishitua akasema dogo twende angalau upate Hela ya kula.
Aisse nimebeba mifuko kama 70 ya cements cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.