Recent content by Qs Cathbert

  1. Qs Cathbert

    Kama hujui kutunza siri SAHAU kufanikiwa. Watu unavyowaona sivyo walivyo ndani

    SHOW less than that you HAVE TALK less than that you KNOW
  2. Qs Cathbert

    2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Okeey Mi sio Architect ila Hii Ramani yako nikama inavipengele. 1. Jamaa alie iandaa Alimaliza kuichora kwanza then aka type hizo dimensions. Madhara yake ni kwamba ukiinput hizo dimensions shape ya jengo inaweza change. Pia baadhi ya dimensions hapo ni kubwa sana kwa normal standard dimension...
  3. Qs Cathbert

    2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Nianze kukujibu kwa mfano wa UJENZI wa ukuta mmoja wenye size ya 3mHeight x 3mWidth kwa 150mm thick. Kwenye BOQ Itakua hivi 👇 Square meters = 9 Rate = 30,000 T. Amount = 270,000 Kwa Material Schedule 👇 Blocks 81 x 1,500/= 121k Cement 1x 20,000/= 20k Sand (bucket) 8x2.5k= 20k Labour 81 X 600=...
  4. Qs Cathbert

    2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Inategemeana Kuna mtu anakuja hana hata Ramani, Cha kufanya nasikiliza specifications za Ramani anayo tamani kuwa nayo then namlink na Architect nnae fanya nae kazi Kama tayari upo na Complete Ramani hasa Floor plan, Section details, Structural design na Elevations itanirahisishia kuandaa...
  5. Qs Cathbert

    2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Mwana anakaa kwenye kwenye nyumba za NHC na TBA Ambazo zinamilikiwa na GOVERNMENT VAR CHECKING GOVERNMENT is the group of people for the people by the people Kwahvyo jamaa ni mmiliki halali wa hizo nyumba😅😅🫵
  6. Qs Cathbert

    2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Duniani sote tunapita Makazi ya kudumu yapo kwa Baba We jamaa🫵😅😅
  7. Qs Cathbert

    2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document...
  8. Qs Cathbert

    Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Naweza kukushauri kitu juu ya hii Ramani yako kwanza?! Kabla sijagusia gharama
  9. Qs Cathbert

    RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

    Kwanini unatumia muda wako ku-type pumba?!
  10. Qs Cathbert

    RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

    Swala la kuwa na BAHARI at the same place kuwe na SHIDA YA MAJI at the same time nchi Ina bunch of WAKEMIA WAKUU kila siku wanamaliza UD hapo, ni dhahiri kuna shida pahala
  11. Qs Cathbert

    RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

    Hivi ile Chemistry ya form three kwenye separation of mixture haihusiki na Kuondoa chumvi na other impurities kwenye maji ya Bahari na kuyafanya yawe safe kwa matumizi ya nyumbani?!, Anyway mi nilikua nasoma nifaulu mtihani tu sio kwa upeo wa kuja kuipractice 😎.
Back
Top Bottom