Recent content by QinetiQ

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Magufuli aombewa dua Zanzibar

    Ni kipindi akipita kusaka wadhamini, Dkt.Magufuli aliombewa dua katika safari yake!
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ukumbi wa Hyatt Regency: Frederick Sumaye atangaza nia kugombea Urais

    Swali: Ukiwa Waziri Mkuu serikalini ndio nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya kutupwa, unasemaje kuhusu hili? Jibu: Uuzwaji wa nyumba za serikali, Rais alishauri na Baraza la Mawaziri akakubali. Kuna tume tatu zilifanyia kazi suala hili kwa muda tofauti na zote zilikuja na mapendekezo kuwa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli ashitushwa Muhimbili kuwa na ambulence moja wakati Chato zipo tatu

    Na mimi nashangaa!!!!
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli azindua barabara ya Isongole - Itumba mkoani Mbeya

    Hahahaa kazi kweli kweli , mungwana hutaja mpaka makampuni aliyonayo share ili umma ufanye kazi yake kama ESCROW
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli ashitukiza kukagua ujenzi barabara ya Iringa - Dodoma mjini Iringa

    Naona jamaa ana ulizi wa kutosha !
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atoa kali

    Laiza pamoja kiongozi!
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atoa kali

    Tumia akili kidogo uliyonayo hoja ni kujiweka wazi Makamba kawa muwazi na ana adhabu na waliompa adhabu ndo huyu anayeaandika kwenye mawe, chunguza vizuri ila pia siwezi kushangaa ukiendelea kupinga naona upo huko, kazi kwenu watanzania!
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atoa kali

    Angalia nimekudondoshea na zingine za Iringa, zingine zipo njiani zinakuja ukweli utajulikana tu nani mchina kati yangu na wewe!
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atoa kali

    Mwigulua aje akanushe!
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli ashitukiza kukagua ujenzi barabara ya Iringa - Dodoma mjini Iringa

    Hii barabara ya Dodoma kwenda Iringa itakuwa mkombozi mzuri sana nakumbuka ile milima ya Nyangholo ni balaa niliwahi kupita pla eusiku sitarudia labda nihakikishiwe barabra imeisha.
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atoa kali

    Naibu Katibu Mkuu CCM Mh. Nchemba anafanya janja ya nyani kuanza kufanya kampeni, angalia chini picha na maneno yaliyoandikwa "MWIGULU NCHEMBA 2015" ukiwa unatokea DSM kwenda Mwanza hutashangaa kukuta maneno hayo yameandikwa katika majengo/nyumba, mawe n.k hasa maeneo ya Singida kuelekea Mwanza...
Back
Top Bottom