Kiongozi, nimechelewa kuona reply sikujua kama uzi wangu umesharuhusiwa kuwa hewani. Yes inawezekana kufanya Soil Analysis kupitia QGIS! Je, una sample data zozote za udongo wako zenye coordinates za eneo umechukua? sample data ziwe na taarifa kama pH, nutrients etc.. Ukiwa nazo, then naweka...