Recent content by Qcartertz OD

  1. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa nae nahisi kama mkosi maana maumiv nayoyapata zaid ya kuish na jini!

    Axanten kwa uxhaur wenu wana jamii bt tatzo xio kwmba cwez kumuacha ila knachoniuma cjui ntampta wap km yey nampenda na cjui hta jns ya ku escape!
  2. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa nae nahisi kama mkosi maana maumiv nayoyapata zaid ya kuish na jini!

    yan bora hta ningebondwa maumv yapoe lakin xio mwanamke napiga cm anakata nkimuulza anajb kwan we unatakaje?
  3. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa nae nahisi kama mkosi maana maumiv nayoyapata zaid ya kuish na jini!

    yan suruma bora hata ningenyimwa ki2 kuliko dharau nazofanyiwa yani dah!
  4. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa nae nahisi kama mkosi maana maumiv nayoyapata zaid ya kuish na jini!

    jaman yan hta cjui nfanye nin yan full maumiv
  5. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa nae nahisi kama mkosi maana maumiv nayoyapata zaid ya kuish na jini!

    Jaman yan najuta hata kupenda maana kila cku mateso haya ishi ama kweli nimeamin gal akijua unampenda lazima akusumbue yani nahis kama nimebebeshwa gunia la chumvi
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Wakubwa zangu nisaidieni

    duh hakuna njia nyingine maana npo mbal xana na hyo shule
  7. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niwe na six parts jamani?

    Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Wakubwa zangu nisaidieni

    Kaka zangu na dada zangu mdogo wenu nimechaguliwa kwiro boys PCM lakin hadi leo hii bado sijafahamu joining instruction za kwiro zinapatikana wapi.hivyo naomben msaada wenu mnijuze kama kuna mwalimu yeyote wa kwiro mnamfahamu au mwanafunzi wa kwiro mniunganishe nae wakubwa zangu.
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Joining instructions form five lini?

    mimi kwiro nisaidieni nitazipataje ndugu zangu?
Back
Top Bottom