Recent content by Qanyengere

  1. Q

    Kesi ya kuagwa kwa mwili wa Alfonce Mawazo CHADEMA Mwanza Askari watanda kila kona

    Rc ni tatizo kwani hata alipokuwa arusha tabia yake ilikuwa ni hiyo ya kutumia polisi kikimbizana na wafuasi wa chadema
  2. Q

    Kesi ya kuagwa kwa mwili wa Alfonce Mawazo CHADEMA Mwanza Askari watanda kila kona

    Rc ni shida hata alipokuwa arusha alikuwa akikimbizana na wafuasi wa vyama vilivyotofauti na ccm.
  3. Q

    Zitto, jiunge UKAWA ugombee kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni

    Utaratibu ni chama chenye wabunge wengi ndicho kitakachotoa kiongozi wa kambi ya upinzani.
  4. Q

    Dodoma: Rais kuhutubia Bunge na Waziri Mkuu kujulikana kesho, UKAWA bado hawasomeki

    Chaguzi za Kila baada ya miaka 5 tangu uhuru mpaka uchaguzi wa mwaka huu ziko 11.nafikiri umepata mwanga mpaka hapo.
  5. Q

    Safari rasmi ya Rais Magufuli na Serikali yake kuanza leo

    nazi wapi ni koroma tu mkuu ccm ni ile ile
  6. Q

    Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

    Toka humo waachie lichama lao
  7. Q

    Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

    Toka humo waachie lichama lao.
  8. Q

    Wiki inayoanza kesho tar 16 Nov ni ya kihistoria kwa Serikali ya Awamu ya Tano na kwa Watanzania

    Jipya ni nini wakati ccm ni ile ile? Mvua inanyesha usiache kupanda na kupalilia kwa sababu ya ungese huo wa tbc1.
  9. Q

    Huu ni wakati wa mabadiliko ndani ya CHADEMA

    Chadema = mbowe. Sijui ni kwanini hadi wasomi wakubwa wanashindwa kuelewa hesabu rahisi namna hii.
  10. Q

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Njoo huku babati nikuonyeshe mama mmoja akusaidie utaacha kabisa
  11. Q

    Tatizo la uso kupauka/kubabuka

    Mdau kula matunda hasa hasa parachichi na machungwa utapata ngozi yako iliyopotea ndani ya wiki mbili.
  12. Q

    Watanzania tunamsifia Magufuli kwa kuvamia maofisini?

    Huyu ni pombe bwana acheni apige kazi.
Back
Top Bottom