Recent content by puzzom

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Najipanga nimuambie, ila nataka nikutane nae live, maana tangia tumemwagana sijawahi kuonana nae live. Ila inaonekana ametendwa tendwa sana, huwa naonaga status zake whatsapp. Nina hakika, hilo tatizo likiisha, hamalizi mwaka keshaolewa.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Nabii lazima atammega tuu, kwa jinsi alivyo huyu dada, acha tuu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Wewe una mke? Kama unae, umeoa lini?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Hakuna sehemu kwenye biblia ambako umeona mwanamke akawa na waume zaidi ya mmoja, ila mwanaume anawake zaidi ya mmoja. Pia hakuna pahala ambapo mwanamume mzinzi amepewa misuko suko kwa kuwa na mwanamke mwingine, ila tunaona imeandikwa yule mwanamke amezungukwa ba watu wanataka kumpiga mawe.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Ushauri mzuri huu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Naomba ushauri, nimuingieje na kumueleza hilo suala?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Uko sahihi kabisa, ila ninahofia nitamuingiaje. Nahofu atajisikia vibaya mnoo na possibly self esteem yake itakuwa seriously affected.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Nimuingiaje sasa ili kumsaidia, si lazima nirudiane nae, lakini I just wish aweze kupata stable relationship. Ana kila sifa ya kuwa mke wa mtu, ila naona watu wanafikiria ataishije ndani na hiyo harufu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Anazo ndio, lakini siyo ndefu, ni za kawaida tuu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Kuna siku nilikuwa nachat nae, basi nikamuambia kuna tatizo nitakutafuta tushirikiane kulitatua, ila nikamuomba asiniulize ni nini. Kweli hakuniuliza, akasema sawa. Ugumu unakuja, naanzaje kumuambia tutatue tatizo la kunuka k yako. Nimejikuta nimepiga kimya, nayeye hajawahi kuniuliza tena.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Binafsi nimefanya observation, ndoa yangu huwa na migogoro mingi nisipokuwa na mchepuko
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Nini shida mamii?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Mkuu acha kujitoa ufahamu, inamaana hujui ni ngumu kiasi gani kutokuwa na mchepuko?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Habarini wadau, Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto. Kipindi fulani hapo nyuma nilikutana na binti mmoja hakika alikuwa ni mrembo kupita wastani. Nilivutiwa nae sana na nikaamua kum approach ili ikiwezekana basi awe mchepuko. Alinipa shida kidogo lakini mwisho wa siku nilifanikiwa kumnasa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwanasiasa hatari kabisa kwa ustawi wa Tanzania

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa Siasa za ZZK kwa Kipindi kirefu sana (Tangia Akiwa University of DSM kama mwanafunzi). Kwakutumia historia ya matukio mbali mbali aliyokwisha kuyafanya, pamoja na reaction yake juu ya uamuzi wa serikali kuzuia usafirishaji wa makontena ya mchanga nimehitimisha...
Back
Top Bottom